Msaada:TECNO N3 INTERNAL STORAGE FULL ILA MEMO CARD BADO SANA,!!

Mastamind

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
1,320
Reaction score
849
Wanduggu msaada jamani nifanyeje TECNO N3 Internal storage iko full hadi inakuwa nzito bt Memory Card free space 7.5 GB, ,,, nifanyeje baadhi ya progs/data zihamie kweny Memory card,!!??? msaada waungwana,,,,
 
nenda kwenye setting ingia applications ,manage aplications nenda kwenye downloded,utaona applications zako zote click kila aplication, clear data kwa kila application. facebook na browers zinasave sana data. pia epuka kusabe aplication zako kwenye phone memory,save kwenye sd. pia kutokana na internal menory ya hii simu ni ndogo usiiijaze sana maaplications hasa yasiyo ya muhimu sana kwako,utapelekea simu yako kuwa slow na kuwa mulfunctioning kunakopelekea kustakstak, hata kuzima kunakopelekea saa nyingine simu kujiformat autimatically na ku clear all aplications na kubaki nabfactory appl tu ambazo zunakuwa kwenye apk folder
 
Get blcd alot kk,,, ngoja nkafanye hilo,,,huo ni ukwel mtupu,,,,asante sn
 
Asante mkuu. Maelezo yako yamenifundisha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…