Jamani msaada nimenunua Techno M6 dukani mpya ila option ya kurestart na kushutdown haifanyi kazi. kuzima mpaka nishedule power itajizima yenyewe. Mwenye ujuzi ama niirudishe
Usipende kutumia jina kama hili on cyber space, kama sio humu basi kwa forums nyingine.
Hacker, Dengerous n.k sio kwamba watu watakuogopa bali utashindwa kupata msaada na baadhi watakuprofile kama extremely unintelligent nazungumzia wenye mawazo chanya.