Kauzu Kinyama
Member
- Aug 13, 2011
- 41
- 5
Habari wana jamvi
Simu yangu ni Tecno M5 nimejichanganya kwenye setting imekuwa kila ninachocomand inaongea. Kibaya zaidi inagoma baadhi ya application na haiendi tena kwenye setting, haikubali scroll up wala done ni home screen tu.
Naomba kwa mwenye ujuzi wa kutatua hili anisaidie tafadhali.