Msaada tecno ku-update memory card

Msaada tecno ku-update memory card

App ninayotaka kudown load ina 15.43MB wakati available space ni 2.33GB kwenye memory card Nashindwa kuelewa mkuu
 
App ninayotaka kudown load ina 15.43MB wakati available space ni 2.33GB kwenye memory card Nashindwa kuelewa mkuu
Badilisha directory ya storage kutoka kwenye phone storage kwenda kwenye memory card., inaonekana phone storage imejaa kwa inataka utunze kwa sd card.
 
Badilisha directory ya storage kutoka kwenye phone storage kwenda kwenye memory card., inaonekana phone storage imejaa kwa inataka utunze kwa sd card.
Lakini app zingine kwanini azikubali kwenda kwenye memory card??
 
app zinakaa kwenye internal memory by default.

kama una simu ya android 6 na memory card yenye speed unaweza ukaiformat hio memory card iwe internal memory.
hapa unafanyaje?,mi nina android7.0,na katika kuiformat una delete kila kitu ktk hiyo memory card na kuanza upya??
 
hapa unafanyaje?,mi nina android7.0,na katika kuiformat una delete kila kitu ktk hiyo memory card na kuanza upya??
ndio, ila sidhani kama ni big issue sababu unaweza kuvi backup mahala na kuvirudisha.

setting inaitwa adoptable storage na inapatikana kwa kwenda settings kisha storage kisha kwenye hio sd card yako.
 
Back
Top Bottom