B bnhai JF-Expert Member Joined Jul 12, 2009 Posts 2,846 Reaction score 2,402 Oct 24, 2015 #1 Kuna hii tecno h8 kila ikiwashwa inaleta maandishi Unfortunately power efficiency management has stopped. Hapo inakuwa hakuna uwezekano wa ku-access chochote. Msaada tafadhali
Kuna hii tecno h8 kila ikiwashwa inaleta maandishi Unfortunately power efficiency management has stopped. Hapo inakuwa hakuna uwezekano wa ku-access chochote. Msaada tafadhali
baruti170 JF-Expert Member Joined Jun 24, 2014 Posts 554 Reaction score 401 Oct 24, 2015 #2 unfortunately battery has stopped.
B bnhai JF-Expert Member Joined Jul 12, 2009 Posts 2,846 Reaction score 2,402 Oct 25, 2015 Thread starter #3 barutirashid said: unfortunately battery has stopped. Click to expand... Hapo unamaanisha nini wakati inawaka lakini haionyeshi chochote zaidi ya maandishi hayo?
barutirashid said: unfortunately battery has stopped. Click to expand... Hapo unamaanisha nini wakati inawaka lakini haionyeshi chochote zaidi ya maandishi hayo?
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 32,086 Reaction score 39,585 Oct 27, 2015 #4 bnhai said: Hapo unamaanisha nini wakati inawaka lakini haionyeshi chochote zaidi ya maandishi hayo? Click to expand... Mkuu ana maanisha simu ya kichina haikawii kukuletea maajabu ukashangaa. Ngoja waje wazoefu wataleta uzoefu wa ufumbuzi.
bnhai said: Hapo unamaanisha nini wakati inawaka lakini haionyeshi chochote zaidi ya maandishi hayo? Click to expand... Mkuu ana maanisha simu ya kichina haikawii kukuletea maajabu ukashangaa. Ngoja waje wazoefu wataleta uzoefu wa ufumbuzi.