LAPUA MAGNUM 338
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 431
- 1,225
Thanks mkuu ngja nifanye ivoRestore hiyo simu then start afresh as a new one
ingia playstore download app inaitwa ampere kisha charge simu halafu nisomee ni mA ngapi hio app inaonesha?Wandugu mbona kimya ndo kusema wajuvi wa hizi mambo hakuna!?
Mkuu nmejarib chaja nying zmezingua ngja niwapelekee tecno, shukrani mkuu.Nakushauri utafute fast chaji au chaja ya kuaminika na siyo kuchukua chaji zisizofaa ,ukiona tatizo linaendelea basi shida ni system chaji hemu peleka Tecno customer care kuna mafundi wazuri watakurekebishia bila chenga ..
asante kiongozi nitakupa majibu baada ya kudownloadingia playstore download app inaitwa ampere kisha charge simu halafu nisomee ni mA ngapi hio app inaonesha?
Niuzie mkuu 0620436634Nakushauri utafute fast chaji au chaja ya kuaminika na siyo kuchukua chaji zisizofaa ,ukiona tatizo linaendelea basi shida ni system chaji hemu peleka Tecno customer care kuna mafundi wazuri watakurekebishia bila chenga ..
Nakuibia siri mkuu cx bila chaja yake original ile fast charger usitegemee kitu... Na charger yake inasukuma approx 1% per 1 to 1.5mins
ndiyo hiyo mkuu camon cxCx ni simu gani? Au Camon CX?
nilikua cjui mkuu chaja yake iliungua so nikanunua tu chaja ya 15000 nkajua nayo itakua poa, ila thanks nitatafta chaja yake originalNakuibia siri mkuu cx bila chaja yake original ile fast charger usitegemee kitu... Na charger yake inasukuma approx 1% per 1 to 1.5mins
We umeongea nilisahau chaja yangu sehemu simu skuwahi kujaza kwa chaja nyingineNakuibia siri mkuu cx bila chaja yake original ile fast charger usitegemee kitu... Na charger yake inasukuma approx 1% per 1 to 1.5mins
Usimdanganye mwenzako mkuu charge ya cx ni original na in charge faster nimenunua hizo sim tatu na zote ziko poa charge yake.Nakuibia siri mkuu cx bila chaja yake original ile fast charger usitegemee kitu... Na charger yake inasukuma approx 1% per 1 to 1.5mins
Usimdanganye mwenzako mkuu charge ya cx ni original na in charge faster nimenunua hizo sim tatu na zote ziko poa charge yake.
nikuuzie fast chaji ? ninayo ya samsung and other smartphone hadi iphone inachaji vzrNiuzie mkuu 0620436634
Una maana gan mkuu fafanua kidogoUsimdanganye mwenzako mkuu charge ya cx ni original na in charge faster nimenunua hizo sim tatu na zote ziko poa charge yake.