Msaada: TCU deadline ya kuomba vyuo ni lini?

Msaada: TCU deadline ya kuomba vyuo ni lini?

Mdenya blood

Member
Joined
Apr 27, 2015
Posts
51
Reaction score
5
Za leo wakuu!

Hivi mwisho wa kuomba vyuo (admission) ni lini, hasa sisi tunaotakiwa tupeleke clearance letter TCU ili tuweze kuomba kwa mara ya pili!
 
Kijana mbona tangazo lipo TCU acha uvivu wa kusoma
 
Back
Top Bottom