medisonmuta
JF-Expert Member
- Oct 10, 2014
- 2,449
- 1,536
Hapo Kwa model sijajua Ila kuna meseji ya tahadhari inaonyesha kwenye HDD inasoma incompatibleSijui hata huko kote ulifika wapi.
Zipo njia za kuondoa password bila kurestore.
Ni hp Pavilion model gani?
"Ruzige"
Pole Sana MkuuNilinunua laptop mpya aina ya HP Pavilion mwezi uliopita ambayo ilikuwa imewekwa Windows 10.
Shida imekuja nilisahau password nikafanya "system restore" na kutengeneza bootable mpya ya Window nyingine.
Shida ninayopata partition haionekani ninapopiga Windows. Pia, nimejaribu kutafuta solution kwenye mitandao nakushauriwa niweke legacy support "enabled" kwenye bios setting, lakini bila mafanikio.
Na nikiweka legacy support enabled inakuwa siwezi kufungua kwenye OS iliyokuwepo ambayo nimesahau password.
Wewe huna tatizo la password. Hapo inakwambia hakuna drive ya kuweka hayo madirisha. Maana yake Hard disk yako ama SSD aidha imekufa au imekuwa disconnected. Fungua utizame kama waya zipo connected.
Next time ikitokea umesahau password yako ya windows jaribu Lazesoft Recovery.
Kinachonishangaza kuiona hiyo meseji imeandikwa incompatible kwenye HDD halafu inatambua storage yakePole Sana Mkuu
Tatizo Lako Nimekutana Nalo San Kwenye Ku Install Win7 Ila Kwa Ten Nimeshangaa Kwa Sababu Win 10 Ina Drivers Tayari
SOLUTION
Ukifika Hapo Rudi Nyuma Mpaka Kwenye Install Pale Ambapo Unabonyeza Then Ndo Unachagua Partition.
Ukirudi Hapo Install Chomoa Flash Yako Ibadili Weka Kwenye USB Port Nyingine Then Endelea Na Zoezi Pale Pale Ulipoishia
Kama Itagoma Bas Badili Hadi Port Zote Ziishe.
SOLUTION 2
Fanya Clean Installation Kama Hamna Data Za Muhimu
Futa Kila Kitu Kwa Portable OS Kama Linux Pulpy Then Install Windows.
SOLUTION 3
Tafuta OS Inaitwa Android N 7 Hii Huwa Inarahisisha, Una Install Kweny Yenyewe Then Unaifuta Na Ukiweka 10 Inakubali.
SOLUTION 4
Fanya Manual Installation Ya USB 3.0 Drivers (Hapa Panahitaji Uwe Mtundu)
ALL IN ALL NJIA ZOTE UTAKAZOTUMIA HAPO JUU ZIKIFANIKIWA PC ITAKUJA HAOSOMI USB PORT SO ITABID UTAFUTE CD YA DRIVERS ZA USB 3.0
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole Tena MkuuHapo Kwa model sijajua Ila kuna meseji ya tahadhari inaonyesha kwenye HDD inasoma incompatibleView attachment 1306380
Partition zilikuwa mbili. Hakuna data zenye umuhimu wowote.Pole Tena Mkuu
HDD Yako Haina Connection Na I/O Hiyo Tunaiita 30F Error.
Kuna Mengi Yanasababisha Ila Kwa Hiyo TOSHIBA 1TB Nahisi Kuna Unllocated Space Humo Ndani Nyingi Naomba Kujua Previously Ulikuwa Na Partition Ngap?
BETTER FANYA CLEAN INSTALLATION
1. Fanya Data Recovery Manual Toa HDD Copy Vitu Vyako Vyote Kutumia External Case Kama Huwez Ku Copy Kwa Linux Puppy
2. Futa Kila Kitu Then Fanya Installation Na Upya
Kwa Text Unayopata Hiyo Nakushauri Fanya Haya Kabla Ya Kufanya Solution Ya Hapo Juu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Installation Ya Windows Kwenye PC Mpya (With Factory Installed OS) Ni ChallengeKinachonishangaza kuiona hiyo meseji imeandikwa incompatible kwenye HDD halafu inatambua storage yakeView attachment 1306389
PoaInstallation Ya Windows Kwenye PC Mpya (With Factory Installed OS) Ni Challenge
Sio Kwako Tu.
Ignore Hiyo Text Jaribu Hizo Solution
Ikigoma Peleka Kwa Fundi Itakuwa BIOS Settings.
Sent using Jamii Forums mobile app