Wakuu habari za jioni.
Kuna simu hapa ina tatizo tajwa hapo juu kwamba data ikiwashwa haiungi(connect), haioneshi vile 'vimshale' vinavyoashiria imekuwa connected!
Lakini ukiunga Wi-Fi/hotspot inakuwa connected na inafanya kazi kabisa!
Msaada, tatizo linaweza likawa ni nin hapa, au nin kifanyike kuondoa hili tatizo.!