Msaada:Tatizo la nguvu za kiume

Msaada:Tatizo la nguvu za kiume

wewe wala hauumwi... umejijengea hofu mwenyewe.....ila kumbuka,,,,ukifungua chupa ya whisky na kuanza kuinywa kwa style uipendayo,,,, aidha haraka au aste aste....itaisha tuuuu......wacha papara......achana na ZINAA oa uzae upate wanao....then endelea na PULI.......wanawake WANAZINGUA....
 
Kwanza acha sex kama miezi sita kwa ichache hadi mwaka. Then kunywa juisi ya tikiti+asali+tangawizi kila siku mkorogo huu glasi 3 au zaidi kwa siku. Kwa uwezo wa Mungu utapona. Pili acha kabisa kuangalia porn na kujichua. Hakuna kitu kigumu kama kuacha kujichua sababu unafanya mwenyewe gizani bila mtu kukuona. Pia shiriki katika mazoezi ya viungo na usikae peke yako mda mwingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah miezi sita
 
Aisee kwanza acha kabisa kujichua, hapo ndipo tatizo lilipo, pili kuwa na demu zaidi ya mmoja kwa wakati, niamini utaacha kupiga nyeto(niliacha nyeto kwa stahili hii maana kila wiki ilikuwa lazima nitoe dozi kwa warembo 2 - 3, hamu ya kupiga nyeto inatoka wapi?)...tatu njoo nikupe supplement ya korean red ginseng, kwa sh. 150k tuu ipo moja ni nililetewa kama zawadi na rafiki zangu wakorea na sijataka kutumia wala sipo interested kuzitumia ila najua zitakusaidia
9eacc599-acb7-4301-be5a-56b97601042c.jpg
 
Aisee kwanza acha kabisa kujichua, hapo ndipo tatizo lilipo, pili kuwa na demu zaidi ya mmoja kwa wakati, niamini utaacha kupiga nyeto(niliacha nyeto kwa stahili hii maana kila wiki ilikuwa lazima nitoe dozi kwa warembo 2 - 3, hamu ya kupiga nyeto inatoka wapi?)...tatu njoo nikupe supplement ya korean red ginseng, kwa sh. 150k tuu ipo moja ni nililetewa kama zawadi na rafiki zangu wakorea na sijataka kutumia wala sipo interested kuzitumia ila najua zitakusaidia View attachment 1061018
Ni kitu gani hiko mkuu?
 
Back
Top Bottom