Msaada: Tatizo la microphone on android phone

2in1

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2014
Posts
224
Reaction score
109
kuna simu ya Itel ya Android ina tatizo la microphone. ukiongea na mtu kwenye simu humsikii mpaka uweke loudspeaker,simu ina kama mwezi tangu inunuliwe na haijawahi kuangushwa wala kupata mitikisiko mikubwa na nyuma ilikua inafunction fresh tu! je tatizo ni nin wadau?
 
Ushasema tatizo microphone.... Katengeneze. Kama unataka kutumia headphones ....nzuri kwa android ni OFIA. Imara na pia nzuri

Kiufanisi mpaka kiutendaji.... Bei ni 5k.
 
kaka uko wapi.kama upo dar kuna fundi anatengeneza hilo tatizo kwa sh.4000/elfu NNE.tu.linaisha na unasahau ila ukienda kule itel care andaa 20000/=
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…