Msaada, Tatizo la maumivu ya mgongo

kamikaze

JF-Expert Member
Jan 25, 2011
422
610
Habari jana jamvi!
Naombeni msaada wa tatizo la mgongo, kwa muda mrefu nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la maumivu kwenye mgongo Chini kidogo ya mabega, maumivu huwa yana kuja na kupotea na kuja Tena, nimeishenda hospitali zaidi ya mara tatu na kupiga X-ray lakini picha zote zinaonesha hakuna shida. Hivyo basi pindi maumivu yanapokuja huwa nameza dawa za kutuliza maumivu, naomba mwenye ufahamu na tatizo hili aweze kunijulisha tiba ya kulimaliza tatizo hili, natanguliza shukrani zangu.
 
Mimi nilikua muhanga nililala chini miezi4 sikupata nafuu hata chembe.

Ila baada ya kuchomwa x_pen, nenadu kila wiki kwa wiki3 hali imeisha kabisa ilifika stage had nikawa naog maji ya moto ata mchana.....pole sana najua maumiv yake
 
Samahani, hospital ulienda? walikuambia una matatizo gani yanayosababisha hayo maumivu?
 
Back
Top Bottom