Nenda kwa wataalamu wa masuala ya afya, wakuangalie kama una tatizo la kiafya. Pengine unakuwa hauko tayari kufanya ngono(kiakili na kimazingira), au unafanya na usio wakubali kivile.
Anyway dakika 3 pia sio mbaya sana. Ukituliza akili, unaweza control ukadumu zaidi. Jifunze kutumia viungo vingine kama vidole, ulimi, pua, n.k. kwa ufanisi, ili "striker" unamuachia katika zile dakika za Ramos ili kuhakikisha ushindi. Mwanamke aliye normal, ataridhika kabisa, atakayetaka zaidi ya hapo yeye ndio mwenye matatizo, sio wewe.
Pia chagua aina ya mwanamke ambaye hatakupa pressure faragha, unayempenda na kumwamini. Sio vicheche.