Dah kumbe sipo pekeangu kama umefanikiwa nijuze dawa na Mimi kak.Mtu ambae anajua dawa ya kumaliza tatizo la kunuka mdomo nisaidieni!
Napiga mswaki mara tatu kwa siku, nimetumia mouth wash mpaka nimechoka, nimetolewa tonsils lakini wapi!ππ
Nisaidie jamani nahisi kwenda maporini nikaishi na miti na wanyama, sababu nimeachana na mpenzi kisa tatizo hili, darasani nilifanya vibaya kisa tatizo hili. Nimetumia gharama kubwa kununua madawa wapi.π
Mtu aliyewahi kuwa na tatizo hili na akapona aniambie basi na mimi niishi kama binadamu wengine.
Nipo Dar, nahitaji msaada wenu wananzengo!
Mtu ambae anajua dawa ya kumaliza tatizo la kunuka mdomo nisaidieni!
Napiga mswaki mara tatu kwa siku, nimetumia mouth wash mpaka nimechoka, nimetolewa tonsils lakini wapi!ππ
Nisaidie jamani nahisi kwenda maporini nikaishi na miti na wanyama, sababu nimeachana na mpenzi kisa tatizo hili, darasani nilifanya vibaya kisa tatizo hili. Nimetumia gharama kubwa kununua madawa wapi.π
Mtu aliyewahi kuwa na tatizo hili na akapona aniambie basi na mimi niishi kama binadamu wengine.
Nipo Dar, nahitaji msaada wenu wwan
Vp kaka.Mtu ambae anajua dawa ya kumaliza tatizo la kunuka mdomo nisaidieni!
Napiga mswaki mara tatu kwa siku, nimetumia mouth wash mpaka nimechoka, nimetolewa tonsils lakini wapi!ππ
Nisaidie jamani nahisi kwenda maporini nikaishi na miti na wanyama, sababu nimeachana na mpenzi kisa tatizo hili, darasani nilifanya vibaya kisa tatizo hili. Nimetumia gharama kubwa kununua madawa wapi.π
Mtu aliyewahi kuwa na tatizo hili na akapona aniambie basi na mimi niishi kama binadamu wengine.
Nipo Dar, nahitaji msaada wenu wananzengo!
Dah kumbe sipo pekeangu.kama umefanikiwa nijuze dawa na Mimi kak.
nambaVp kaka.
Sayansi ya hivi imepitwa na wakatiUsinywe majimaji na vinywaji vingine wakat wa kula.
Mda wa maji maji, mda wa chakula chakula
Nenda na muhimbili, na pia siku ukisikia madaktari bingwa kutoka nje wamekuja tafadhali kawaoneNimeenda kila hospitali ! Mwananyamala , Albert Kairuki, RABININSIA, Almandari posta na pharmacy ndo usisemeee! Iβm totally tired of living!ππππ
Kwamba!!:Sayansi ya hivi imepitwa na wakati
Kula huku unakunya maji kunarahisisha mmeng'enyo wa chakula na kubance kiwango cha chakula unachokula katika uwiano sahihi.Kwamba!!:
Mi ntakubaliana na wewe kwamba hiyo sio sababu(cause/reason) ya mtu kunuka mdomo.β
Lakini nitaendelea kushikilia hapohapo kuwa hii ni mojawapo ya kisababishi(factor) cha watu kunuka mdomo.
Tunaongelea kuchanganya maji na chakula bado
Unajua brother shida ya matatizo mengi ya afya ya siku hizi hayana msababishi mkuu mmoja (main causative agent). Lakini yanakuwa yanajengwa na vitendo na tabia kibao za kwenye mtindo wa kawaida wa maisha (lifestyle factors)
Basi hili la kunuka mdomo ni mojawapo!
Na matibabu yake yatahusisha kubadilisha mambo mbalimbali, tabia za ulaji zikiwamo. So nnamshauri mleta mada achambue mantiki ya kupewa ushauri fulani kisha afanyie kazi zoote zinazoendana na mantiki ya kurudisha afya ya tumbo (gut health)
Akiniuliza sababu majinachakula wakati mmoja ni tatizo nitamjibu kwamba: kitendo hiki hupunguza nguvu ya juisi za kumeng'enya chakula hicho chakula kutomeng'enywa vizuri na kinachacha.
Cheki madini hapa: (kama huna bando, maelezo ndo hayohayo)
View: https://youtu.be/-dVbfpXMmuk?si=s0OoMNwoFGa0uZX_
Maji hayo yanatakiwa yaachiliwe kutoka mwilini (kuta za tumbo, kongosho na utumbo) yakiwa na uwiano sahihi wa vimeng'enya vya chakula na utindikali/besi.Kula huku unakunywa maji kunarahisisha mmeng'enyo wa chakula na kubance kiwango cha chakula unachokula katika uwiano sahihi.
Endelea kufanya tafiti zaidi , sayansi hubadilika mkuu.Maji hayo yanatakiwa yaachiliwe kutoka mwilini (kuta za tumbo, kongosho na utumbo) yakiwa na uwiano sahihi wa vimeng'enya vya chakula na utindikali/besi.
Ukiyanywa wewe kama wewe wakati huo yanaenda kudhoofisha utindikali/besi ambao mwili ulishafanya hesabu kuwa unafaa kulingana na chakula husika.
Basi yanywe mapema ya kutosha kama dakka 30-40 kabla ya chakula. Halafu mwili wenyewe ndio utajiamulia uloweshe chakula kwa kiwango gani.
Sio mbaya, kwa vyakula vikavu sana (mfano) ukapata na maji kiasi kusaidia umezaji lakini kuna kiwango stahiki
Hili jambo unacheka tu ila lilisha kuwa debate kubwa sana kwa maprof nguli kwa chuo nilichosoma ndio maana nmekuambia fanya tafiti upya.Maji hayo yanatakiwa yaachiliwe kutoka mwilini (kuta za tumbo, kongosho na utumbo) yakiwa na uwiano sahihi wa vimeng'enya vya chakula na utindikali/besi.
Ukiyanywa wewe kama wewe wakati huo yanaenda kudhoofisha utindikali/besi ambao mwili ulishafanya hesabu kuwa unafaa kulingana na chakula husika.
Basi yanywe mapema ya kutosha kama dakka 30-40 kabla ya chakula. Halafu mwili wenyewe ndio utajiamulia uloweshe chakula kwa kiwango gani.
Sio mbaya, kwa vyakula vikavu sana (mfano) ukapata na maji kiasi kusaidia umezaji lakini kuna kiwango stahiki
Umepata dawa ndugu na mm unisaidieDah kumbe sipo pekeangu kama umefanikiwa nijuze dawa na Mimi kak.
Al mandal ama hindumandaliNimeenda kila hospitali ! Mwananyamala , Albert Kairuki, RABININSIA, Almandari posta na pharmacy ndo usisemeee! Iβm totally tired of living!ππππ
Ndiyo nasikia mara ya kwanza kuwa kunywa maji wakati wa chakula siyo vizuri. Mbona duniani kote ndiyo utaratibu? Sijaona watu wenye culture ya kula bila maji pembeni.Hili jambo unacheka tu ila lilisha kuwa debate kubwa sana kwa maprof nguli kwa chuo nilichosoma ndio maana nmekuambia fanya tafiti upya.
Ni kweli ila kuna Prof niliona anaelezea ni vizuri kiafya kwanza unapunguza kiasi cha chakula unacho kula na inasaidia mmeng'enyo vizuri zaidi.Ndiyo nasikia mara ya kwanza kuwa kunywa maji wakati wa chakula siyo vizuri. Mbona duniani kote ndiyo utaratibu? Sijaona watu wenye culture ya kula bila maji pembeni.