Wanajamvi msinichoke naomba mwenye kujua jinsi ya kutafuta vector autoregressive model kwenye panel nina nchi tano na variable nane kila nikijaribu inaniambia The sample has gapes r(498)

Natumia simu mkuu ningekuwa na PC ningejaribu kukusaidia. Ila in the mean time unatakiwa ucheck kama data zako zipo consistent.
Pannel data ni combination ya same cross section data taken in the same series of time. Hizo gapes zinatokana na hizo data haziwi consistency na time. Inawezekana hizo variables hazijawa reflected in both 5 countries. Au kama uli merge tatizo linaweza kuanzia hapo. Cross check your data.
Wanajamvi msinichoke naomba mwenye kujua jinsi ya kutafuta vector autoregressive model kwenye panel nina nchi tano na variable nane kila nikijaribu inaniambia The sample has gapes r(498)
Wanajamvi msinichoke naomba mwenye kujua jinsi ya kutafuta vector autoregressive model kwenye panel nina nchi tano na variable nane kila nikijaribu inaniambia The sample has gapes r(498)
Wanajamvi msinichoke naomba mwenye kujua jinsi ya kutafuta vector autoregressive model kwenye panel nina nchi tano na variable nane kila nikijaribu inaniambia The sample has gapes r(498)
Hapo kaka unatakiwa kucorrect heteroskedasticy, unaweza kutumia weighted least square au VIF, then baada ya hapo run the data utapata unbiased estimates. Ningekusaidia physically lakini nipo mashariki ya mbali