Msaada tatizo kwenye mguu

Inaweza kuwa ndo sababu mkuu? Ila red meat sili sana
Yeah yawezakuwa ni sababu alafu pia Na uzito wako unaweza kuwa unachangia umiza magoti ukiwa Na weight kubwa haushauriwi kuanza kimbia unatakiwa uanze tembea kwa speed kwa kipindi kirefu mpaka uzito utakapo pungua ndo uanze kimbia
 
Endelea ni kawaida unapoanza mazoezi,hebu endelea kama wiki hivi mm nilikuwaga na tatizo la vichomi nikokimbia nikawa navipeleka hovyohovyo naw Niko poa
Tatizo la misuli kukaz nilipata nikiwa naanza mpaka kushuka au kupanda ngazi, kilima ikawa tabu baadae ikawa sawa na nikakimbia kama majuma kadhaa ndio hili tatizo la kwenye goti likaanza
 
Yeah yawezakuwa ni sababu alafu pia Na uzito wako unaweza kuwa unachangia umiza magoti ukiwa Na weight kubwa haushauriwi kuanza kimbia unatakiwa uanze tembea kwa speed kwa kipindi kirefu mpaka uzito utakapo pungua ndo uanze kimbia
Ndicho ninachokifanya japo siendi umbali mrefu sana lakini matokeo nayaona ya kutembea.
 
mkuu nina urefu wa cm 175 ila kwa kilo mkuu nilipima kitambo sana
Lakini wewe mguu wako yaonyesha kabisa huna weight kubwa Na hayo maumivu ni ya kawaida tu mkuu keep pushing utakuwa sawa mimi wakati naanza ilinisumbua sana goti Moja lakini badae ikawa ok Na Wala sikuwa Na uzito mkubwa ni sababu tu nilikuwa sifanyi mazoezi mara kwa mara
 
Ndicho ninachokifanya japo siendi umbali mrefu sana lakini matokeo nayaona ya kutembea.
na mimi nitaanza kutembea nitaenda hadi kilometer 10 kwa siku ila kutembea naona kama sitoki hata jasho wakuu au sababu ni asubuhi sana 4:30 am nakuwa nipo road
 
Lakini wewe mguu wako yaonyesha kabisa huna weight kubwa Na hayo maumivu ni ya kawaida tu mkuu keep pushing utakuwa sawa mimi wakati naanza ilinisumbua sana goti Moja lakini badae ikawa ok Na Wala sikuwa Na uzito mkubwa ni sababu tu nilikuwa sifanyi mazoezi mara kwa mara
sawa mkuu ngoja niendelee huku nimefunga crepe bandage nitalet marejesho
 
Back
Top Bottom