Planet FSD
JF-Expert Member
- Oct 24, 2019
- 454
- 951
Haha kiongozi tatizo ndo lishatokea, tunafanyaje sasa. Ushauri please.Mimi hata uniwekee bastola kwenye paji la uso sinunui gari kutoka kwa rangi nyeusi.
Mkuu kweli nilipigwa lakini nilipewa gari powerful. Nilisearch chassis number yake na ikaja E280, kwahiyo ni kweli gari ni E280 ila nashindwa elewa ilikuaje kadi ikaandikwa E250? Labda ni human error, sasa je naweza kubadilisha hiki kitu?E250 na E280 ni gari sawa itategemea na mwaka, coz iyo 2.5L ndio ilikuja kua replaced na 2.8L engine, nimesahau mwaka tu.
Sema ulichopigwa ni kudanganywa umeuziwa cc2800 kumbe cc2500, less HP.
Kama sio case, we kabadirishe tu.
Nime edit hapo juu cheki.Mkuu kweli nilipigwa lakini nilipewa gari powerful. Nilisearch chassis number yake na ikaja E280, kwahiyo ni kweli gari ni E280 ila nashindwa elewa ilikuaje kadi ikaandikwa E250? Labda ni human error, sasa je naweza kubadilisha hiki kitu?
Okay. Huyo mtu alifanya janja janja ili alipe kodi ndogo.Mkuu kweli nilipigwa lakini nilipewa gari powerful. Nilisearch chassis number yake na ikaja E280, kwahiyo ni kweli gari ni E280 ila nashindwa elewa ilikuaje kadi ikaandikwa E250? Labda ni human error, sasa je naweza kubadilisha hiki kitu?
Ohoo! Sasa hii ni shida ndo nilikuwa naiwaza. Kuna chochote naweza kufanya kusort out hili tatizo? Kabla jumba bovu halijaniangukia.Maana gari naipenda kwa kweli.Okay. Huyo mtu alifanya janja janja ili alipe kodi ndogo.
Maana cc2500 na cc2800 kodi tofauti.
Inawezekana kubadili hiyo model ya gari kwenye card mkuu?Hebu tuone hiyo gari yako kwanza kama ndo yenyewe
Nenda kajisalimishe TRAOhoo! Sasa hii ni shida ndo nilikuwa naiwaza. Kuna chochote naweza kufanya kusort out hili tatizo? Kabla jumba bovu halijaniangukia.Maana gari naipenda kwa kweli.
Haha, mkuu sina akili za hao bwana. Ila nashukuru itabidi niende huko nikaonane naoUnaweza badili, jipeleke TRA, things will be sorted out. That is one. Two, uwa naandikaga humu mara kadhaa, usikubali kununua any automobile kwa makubaliano kuwa transfer utafanya wewe. Hakikisha seller amekamilisha na wewe umeenda TRA kuhakiki.
Sema tu wabongo wengi mna akili sawa na za gwajima na polepole.
Ahsante kiongozi, nitafanya hiviNenda kajisalimishe TRA
Sawa
Kwanini mkuu?Jamaa anaenda kibra kupigwa
so mkuu solution ni kuuza?Nishanunua pikipiki kwa mtu nkakutana na ishu kama yako kumbe jamaa alisajili ki ujanja ujanja nkaiuza fasta