za mchana wakuu
naomba niende moja kwa mojo kwenye shida yangu. ninasimu SAMSUNG S2 jana gafla imeandika the application logsprovider has stopped unexpectedly . please try again.
kwa chini pameandikwa FORCE CLOSE . uki click pia haitaki.
nimejaribu kuizima imegoma. naombeni msada kwa hili