Habari za asubuhi wanabodi,..nilikuwa naomba msaada kwa anaye jua taratibu zote za kuanzisha Dispensary anisaidie tafadhali.
Nilichokifanya hadi sasa:
Nimepitia website ya Wizara ya Afya lakini sijapata maelezo ya kutosha
Mimi niliwahi fanya huo mchakato mwaka 2004 kule Mahenge Morogoro. Kwa kuwa ni muda mrefu sina hakika kama utaratibu ambao nliufuata kipindi kile bado unatumika. Ninakushauri uonane na wataalamu wa Idara ya Afya hapo ulipo au unapotaka kufungua hiyo huduma ili wakupe utaratibu mzima juu ya hilo zoezi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.