Msaada taftsiri ya ndoto

Msaada taftsiri ya ndoto

neo1

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2013
Posts
576
Reaction score
843
Habari wana jamii!!!

Leo nimeota ndoto tofauti kidogo na inasikitisha!!!

Nimeota mkuu wa kaya amekuja kwangu!!,tunatembe tembe tembea akapokea sim,alipopokea sim aka simama ghafla....then akadunguliwa.
Akawa assassinated kwangu!!
Nikaogopa saaana!!!,nikaamka.me na jamaa hatuna mazingira ya kuonana kwenye maisha ya kawaida!!.japo tumekutana kama twice!
Msaada nn itakuwa maana yake!!

Neo
 
Kuna kitu kimoja inabidi ujue si kila ndoto ina tafsirika,zingine ni ndoto za shibe tu mkuu.
 
Habari wana jamii!!!

Leo nimeota ndoto tofauti kidogo na inasikitisha!!!

Nimeota mkuu wa kaya amekuja kwangu!!,tunatembe tembe tembea akapokea sim,alipopokea sim aka simama ghafla....then akadunguliwa.
Akawa assassinated kwangu!!
Nikaogopa saaana!!!,nikaamka.me na jamaa hatuna mazingira ya kuonana kwenye maisha ya kawaida!!.japo tumekutana kama twice!
Msaada nn itakuwa maana yake!!

Neo

inamaanisha siku si nyingi utatekwa na kwenda kutupwa mabwe pande!
 
umeota wakati gani iyo ndoto
Nimeota leo usiku mkuu!!!
 
Maana yake ana maisha marefu sana
Ahsante mkuu,na iwe hivyo
 
Habari wana jamii!!! Leo nimeota ndoto tofauti kidogo na inasikitisha!!! Nimeota mkuu wa kaya amekuja kwangu!!,tunatembe tembe tembea akapokea sim,alipopokea sim aka simama ghafla....then akadunguliwa. Akawa assassinated kwangu!! Nikaogopa saaana!!!,nikaamka.me na jamaa hatuna mazingira ya kuonana kwenye maisha ya kawaida!!.japo tumekutana kama twice! Msaada nn itakuwa maana yake!! Neo
Utapigiwa simu na watu usiowajua kisha watakung'oa kucha na meno kisha watakutelekeza Mabwepande halafu Mkuu wa Kaya hatawachukulia hatua yoyote japokuwa anawafahamu.
 
Habari wana jamii!!!

Leo nimeota ndoto tofauti kidogo na inasikitisha!!!

Nimeota mkuu wa kaya amekuja kwangu!!,tunatembe tembe tembea akapokea sim,alipopokea sim aka simama ghafla....then akadunguliwa.
Akawa assassinated kwangu!!
Nikaogopa saaana!!!,nikaamka.me na jamaa hatuna mazingira ya kuonana kwenye maisha ya kawaida!!.japo tumekutana kama twice!
Msaada nn itakuwa maana yake!!

Neo

Hio ndoto maana yake CHADEMA HAIKUFAI,

Hamia CCM au CUF.
 
Duuh kahtaan umetisha yaan sipend siasa napenda mabadiliko!!!!!
 
Habari wana jamii!!!

Leo nimeota ndoto tofauti kidogo na inasikitisha!!!

Nimeota mkuu wa kaya amekuja kwangu!!,tunatembe tembe tembea akapokea sim,alipopokea sim aka simama ghafla....then akadunguliwa.
Akawa assassinated kwangu!!
Nikaogopa saaana!!!,nikaamka.me na jamaa hatuna mazingira ya kuonana kwenye maisha ya kawaida!!.japo tumekutana kama twice!
Msaada nn itakuwa maana yake!! Neo

Mkuu hii ndoto imetokana na kushiba makande kusikokuwa kwa kawaida! Usipende kula makande wakati wa usiku!
 
Back
Top Bottom