Kaka si unajua mambo ya ndoto? Mda mmoja utakuta mara upo singida , mara upo Mwanza, mara upo ulaya japo hukujui,[emoji3][emoji3]kwenye hii ndoto nlikua kabisa naona nimeonewa!!kitu cha kusingiziwa, ndo unafungwa na jela bila ushahidi khaaaa
hiyo ndoto ya asubuhi au mchana ??
Asante mkuu ntalifanyia kaziUsirelax, ndoto ni halisi na maisha ya kawaida mara nyingi huanzia rohoni. Kwa uelewa wangu mdogo ni kuwa umepewa taarifa kuwa kuna jambo utasingiziwa, yaweza isiwe kuiba ream lakini chochote na atakayekusingizia ni mtu wa karibu na unayemuamini.
Sasa tuje kwenye point: je nini lengo hasa la taarifa?
Lengo la taarifa ni kukuhabarisha, kukupa fursa ya kukataa unachoambiwa au kukubali. Ndio maana kwenye mambo ya kiroho tunaambiwa unaweza kukataa au kukubali ndoto unayoota.\
Ushauri wangu, ingia maombi ya kumaanisha/kufunga kataa hiyo scandal iliyoandaliwa kukuabisha au kukutesa. Mungu ataiondoa
Kiroho ukilala roho huwa inasafiri inaacha mwili na kwenda kutembea sehemu ulizoziota,roho ikikutana na jeruhi lolote huko ilipo upelekea kifo cha usingizini3.Kaka si unajua mambo ya ndoto? Mda mmoja utakuta mara upo singida , mara upo Mwanza, mara upo ulaya japo hukujui,[emoji3][emoji3]kwenye hii ndoto nlikua kabisa naona nimeonewa!!
Heshima kwako mkuu ... naomba nami nisaidie hii ndoto ... jana usiku nimeota tunasafiri usafiri wa basi (eacher) kuna sehem tulifika ikatubidi mimi na baadhi ya abiria tushuke tukaingojee gari kwa mbele sasa wakati tuna tembea ikaonekana kama tupo sehem hatarishi sana kuna vibaka wengi wanaojidunga sindano za madawa ya kulevya na moja ya watu tulio shuka nao pia ni mtumiaji kwahiyo tuka fika sehemu tuka mkuta simba huyo simba yupo kama amekatwa upande yani sehemu ya mwili wa simba upo chini lakini sehemu ya mkia na kipande kidogo ndo ina onekana ina cheza ... basi yule ndugu(simfahamu) ikawa nikama anawapelekea wale vibaka wezake mzigo flani akaomba nimsindikize kule japo nlikiwa na hofu sana nikamsindikiza kufika kule nika mwambia mimi siingi humo yeye akaingia ... alipo ingia tu aka tekwa na wale vibaka nikarudi haraka kwa wale abiria wenzangu kuwapa tarifa basi tukawa tuna sikitika pale hadi nikashtukaKwanza ningetamani kujua Wewe unafanya kazi gani? Lakini pia umegusa kanisa je huko una cheo gani Ni mzee wa kanisa muimbaji,kiongozi wa vijana n k.
Kitendo Cha kuota ndoto umesingiziwa kuiba ni kwamba jamii inayokuzunguka Kuna Watu wanaokuonea wivu kwa sababu wanakuona unatishia masilahi yao. Lakini mpaka unahukumiwa kifungo Cha miaka miwili,inaonyesha unaweza upate safari either ya masomo au uhamisho kikazi utakaokuondea hapo ulipo kwa miaka miwili.
Kama una mchumba au mke huyo rafiki yako wa karibu atakusaliti atatembea na huyo mke wako au mchumba wako. Omba Sana damu ya Yesu ikufunike ili hao wanao kuwazia mabaya washindwe kwa jina la Yesu