Msaada tafadhari

wildfish

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2014
Posts
1,116
Reaction score
712
kwa wale wenzangu wanao tumia qsat23 vipi zipo hewani kwa sasa? mwenzenu channel zote za d*tv hazionekani natumia account ya Tv1,mambo yaliharibika tangia siku jamaa walipo update na kuongeza ITV. kama kuna mtu analijua hili naomba anisaidie ufumbuzi wake.
 

Km unatumia tv1 na qsat yako haionyeshi basi kuna tatizo maana tv1 iko hewani labda avarter ndo imepotea tangia jana kwa hiyo kwa tv1 jaribu kucheck labda account yako imekwisha muda wake
 
Km unatumia tv1 na qsat yako haionyeshi basi kuna tatizo maana tv1 iko hewani labda avarter ndo imepotea tangia jana kwa hiyo kwa tv1 jaribu kucheck labda account yako imekwisha muda wake

nashukuru kwa ushauri wako ngoja nijaribu kufuatilia nione tatizo lake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…