Faru dume
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 471
- 116
Shikamooni wadau wa jf,mimi ni kijana wa umri wa kuwa na girlfriend hapa namanisha nimepevuka vya kutosha na natambua mema na mabaya....ok!ngoja nije kwenye hoja ya msingi nimebahatika kumpata mwandani wangu na nimedumu naye zaidi ya miezi mitano cha ajabu kila nikimuomba MZIGO ananizungusha hii ni mara ya tatu,yani nashndwa kumuelewa kama ananipenda au hanipendi mana tunapanga mipango flesh bt at the end anazingua....mpaka nawaza au ana Vagina dentacta nini?naombeni ushauri ni mwache au nivumilie 2..?