Anamapenzi ya ajabu huyu manzi....

Anamapenzi ya ajabu huyu manzi....

Faru dume

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
471
Reaction score
116
Alinichunia zaidi ya miezi mitano,jana kanipigia simu anadai alikua kimya coz simu yake iliibiwa...na kipindi alichokua kmya mi mzeia nikapata watt wawili nikawa najipigia SHOO,na taarifa zkamfikia akaniuliza nami nikamthibitishia kuwa ni kweli,bt cha ajabu bhado ananing'ang'ania 2 mimi as if hakuna mvulana mwengne,na anataka eti nije nimuoe...uzuri mi ndio m2 wa kwanza kumtoa bikra...dah,anamapenzi ya ajabu kweli...mpaka namuogopa..eti wadau nimrudie au nimteme?
 
nimeona unalalamika kwenye thread nyingine manzi anakudengulia kukupa k,sahizi unadai anakutafuta mara unagonga nje oooh umemtoa bikra ooooh pepele pepele nyiiiiiingi
 
hawa vijana wetu kumbukumbu wanayo basi!!!
 
nimeona unalalamika kwenye thread nyingine manzi anakudengulia kukupa k,sahizi unadai anakutafuta mara unagonga nje oooh umemtoa bikra ooooh pepele pepele nyiiiiiingi

umeisoma thread vzur?huyu ndo first glfrnd wangu bt alichuniaga..na yule anayenizingua ni demu wa sasa hv...!
 
mi nimeunganisha mathread yako yote nimeona nikichangia zote ni kuchosha mkono wangu,kwa nini usiziunganishe uelezee kwa utulivu zilete mtiririko unaoeleweka,kuna sehemu umeandika kwamba yule ni wa sasa na huyu ni wa zamani?
 
wanageuza humu kuwa kijiwe cha kahawa,mtu anafungua thread 50 zote zinaongelea suala moja afu fiksi nyiiingi utadhani anawapigisha watoto wa form two hadithi.
na ili kuiuza thread yake utakuta ka-mention majina ya watu kibao!!hunishangaza sana, thread inapaswa ijiuze yenyewe siyo uiitie watu!!
 
kweli sie ndio waBONGO,maneno mengiiii point hkna,ok,endelea kuchonga bhas
 
Alinichunia zaidi ya miezi mitano,jana kanipigia simu anadai alikua kimya coz simu yake iliibiwa...na kipindi alichokua kmya mi mzeia nikapata watt wawili nikawa najipigia SHOO,na taarifa zkamfikia akaniuliza nami nikamthibitishia kuwa ni kweli,bt cha ajabu bhado ananing'ang'ania 2 mimi as if hakuna mvulana mwengne,na anataka eti nije nimuoe...uzuri mi ndio m2 wa kwanza kumtoa bikra...dah,anamapenzi ya ajabu kweli...mpaka namuogopa..eti wadau nimrudie au nimteme?

Mmeze.
 
kuita watu sio issue,issue ni thread iwe na mantiki basiiiiii utakuta mtu na kitambi chako umeitwa mahali ukifungua unajilaumu unatamani kummeza mtu.
 
kweli sie ndio waBONGO,maneno mengiiii point hkna,ok,endelea kuchonga bhas

ukiambiwa ukweli lazima utafute defence,kwani ww mjapani?ungekuwa na mapoint ungeeleweka kwenye nyuzi zako!!!!!!!!!!!
 
ok!nimekuelewa,nashukuru kwa kunipa changamoto,bg up
 
ACHA UZINZI!! Kuna Uzi nimesoma humu jana kwamba mabinti chini ya miaka 25,asilimia fulani wanamaambukizi, na ci wengine ni hao!hao unaobadilisha kama JEANS! Tafakari!
 
Alinichunia zaidi ya miezi mitano,jana kanipigia simu anadai alikua kimya coz simu yake iliibiwa...na kipindi alichokua kmya mi mzeia nikapata watt wawili nikawa najipigia SHOO,na taarifa zkamfikia akaniuliza nami nikamthibitishia kuwa ni kweli,bt cha ajabu bhado ananing'ang'ania 2 mimi as if hakuna mvulana mwengne,na anataka eti nije nimuoe...uzuri mi ndio m2 wa kwanza kumtoa bikra...dah,anamapenzi ya ajabu kweli...mpaka namuogopa..eti wadau nimrudie au nimteme?

Una umri gani we mtoto?
 
Back
Top Bottom