Msaada tafadhari

Msaada tafadhari

Planett

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2014
Posts
10,561
Reaction score
16,339
Wakuu habari za asubuhi,
Naomba kusaidiwa course ipi ni nzuri kwa kusoma kati ya hizi
(1)BACHELOR'S DEGREE IN ACCOUNTING AND TRANSPORT FINANCE -NIT DSM
(2)Bachelor of Arts in Public Relations and Marketing (BAPRM) - SAUT MWANZA
Nitashukuru sana kwa ushauri wako... asante.
 
Mkuu kozi zote ni nzuri kulingana na malengo yako.Ukitafuta ushauri bila wewe mwenyewe kujipanga huenda ukaangukia chaka.Yangu ni hayo,endelea kufuatilia maoni ya wengine mkuu.
 
shukran mkuu kwa ushauri wako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom