sim yangu kuna wakati nikipiga/ kupigiwa huwa ina ganda katikati ya mazungumzo au mara bada ya kupokelewa na baada ya dakika mbili au tatu inazimika halafu inajiwasha tena nimejaribu ku format lakin tatizo bado linaendelea hivyo naomba msaada kwa wanao lifaham tatizo hili linasababishwa na nn? na nin kifanyike ili tatizo hili liishe maana linaninyima raha katika matumizi ya sim.