Usishangae kwa muonekano wa mtaimbo wako.Mara nyingi mtaimbo huwa tenge kwakua korodani nazo zimekaa tenge.upande ambao koridani ipo ndani ndio mtaimbo kulalia.pia uvaaji wa nguo za ndani zinazobana husababisha kuongezeaka kwa mpindo huo.ila wapo waliozaliwa na tatizo hili kwao hua la kudumu.