Naomben msaada ndugu zangu baba yangu anasumbuliwa na eusophagael tumour kwa anayejua tiba na WAP inapatikana nipo muhimbili baada ya rufaaa za hospital mbalimbali lakini mambo bado hayaeleweki na hali inazidi kuwa mbaya.
naomben msaada ndugu zangu baba yangu anasumbuliwa na eusophagael tumour kwa anayejua tiba na WAP inapatikana nipo muhimbili baada ya rufaaa za hospital mbalimbali lakini mambo bado hayaeleweki na hali inazidi kuwa mbaya.nisaidien jamaan
navyojua kama ni tumor mara nyingi tiba ni operesheni hapo na haufanyiwi operation mpaka unayo damu ya kutosha,moyo unafanya kazi vizuri kama una pressure walau imetulizwa kwa kiwango fulani
Hivo kuwa mpole na kama Muhimbili wamegundua ni malignancy ya koo la chakula ndo maana unaona hawatoi muitikio mzuri...
Mwambie mgonjwa wako madaktri wakija kumuona wamueleze ukweli kinachoeendelea akikaa kimya ndo basi tena mtabaki na pressure bure
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.