Msaada Tafadhali

Steph Curry

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
5,936
Reaction score
4,713
Wakuu nilikua naangalia 5 Sport ya EATV kuna mtoto hapa nimemwona anaitwa MAGDALENE MUSHI.. Mtoto anang'ata ung'eng'e balaa alafu kanivutia ile mbaya.. Huyu ni mmachame mwenzangu bila shaka, yeyote mwenye contact zake anisaidie jamani. Nataka kutangaza ndoa hapo..
 
una akili za kimdoli mdoli..
mmachame wa aina gani wewe?
kapime DNA..

hahahaha mkuu kiwatengu achaga.basi kumwambia mtu maneno ya kweli bana' unajua ndivyo akili yake ilivyokweli sasa siboratu ungekua unamtania.kwanza kama kuona kwenye tv.ailize tv yake itampa contact zake au aende machame akaulizie huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…