Habari wana jf
nimekutana na demu wangu siku saba baada ya hapo akapata hedhi . Tukakaa akanipigia simu akaniambia siku zake hazioni na ni siku ya thelathin ktk mzunguko wake.tatizo linakuja hivi ananiambia ana ujauzito wakati nimemuacha akiwa anableed.sasa mimba ni yangu au naibiwa naombeni msaada kwa wataalam wanaojua

Baadhi ya wanawake wanatokwa na damu au spotting mwanzoni mwa ujauzito..kwenye zile siku ambazo anazotakiwa apate hedhi..Lakini inakuwa sio damu ya hedhi bali inaitwa "IMPLANTATION BLEEDING" ambayo inasababishwa na yai lilopevuka(lilorutubika) linaposogea kwenye mfuko wa uzazi ili kujiegesha hapo.Damu hii inakuwa nyepesi zaidi tofauti na ya hedhi na mjamzito anaweza aipate kwa siku moja mpaka mbili.
Kumbuka vilevile kwamba kutokwa kwa damu ukeni angali mtu yumjamzito inaweza kuwa ishara ya kwamba kuna kitu hakipo sawa kama kuharibika kwa ujauzito au ujauzito kutunga nje ya mfuko wa uzazi.Halii ni hatari kwa afya ya mjamzito.
Nakushauri umpeleke mwenza wako hospitali akafanyiwe uchunguzi kama kila kitu kipo sawa.