nyambari JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 355 Reaction score 174 Sep 10, 2013 #1 Naomba kujuzwa mawasiliano ya wakala wa bidhaa za sony hapa Tanzania maana nimetafuta pasipo mafanikio au kama kuna mtu anajua bei ya SONY DAV TZ-130 BRAVIA kwa hapa Tanzania anaweza kunisaidia. Asanteni.
Naomba kujuzwa mawasiliano ya wakala wa bidhaa za sony hapa Tanzania maana nimetafuta pasipo mafanikio au kama kuna mtu anajua bei ya SONY DAV TZ-130 BRAVIA kwa hapa Tanzania anaweza kunisaidia. Asanteni.