Msaada tafadhali !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

We watu8 mtanga wa wapi,halafu utakuwa na NDELE wewe maana mmmh............mkuu mambo lakini

Hahaha aisee ukiwa na ndele mbona ningeshazushiwa ni filimasoni...ndele ni bonge la kismati.
Miye Mgunya toka Lamu Mombasa...Tanga ni kama makazi ya pili tu...
Kwema kaka...sijui weye wajionaje na hali.
 
Habari zenu wana jf na MMU kwa ujumla.

Tafadhali naomba mnisaidie na mnifahamishe Chuo/Driving School inayotambulika kwa Jiji la DSM. na kama unajua na gharama zake itanisaidia/rahisishia zaidi. Pls help.

Nawasilisha Ahsante.

NIT (National Institute of Transport) nako kuko fresh. Gharama sizifahamu, Kwa taarifa zaidi nenda chuoni.
 
Niambie PM wakaa maeneo gani...usijekuwa mkazi wa Kimanzicha - Kisarawe halafu mission ikawa impossible.

Mkuu mimi nipo maeneo ya mjini tu sio mbali hivyo. Naomba garama tafadhali.
 
Kwa DSM hakuna driving school nzuri! Kma unataka uwe safi driving nenda CONGO mji wa GOMMA kuna driving xchool nzuri sana mpaka VIFARU JESHI utaendesha mkuu...all the best

Heee!!!? makubwa tena hayo ya nini yote, mm c mgeshi. Ahsante mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…