Veta ni kizuri...ila gharama zake sizijui
Ahsante Mkuu, nitafuatilia.
Kama hutojali mimi naweza kukufunza gari kwa bei ya maongezi lakini ni kila mwisho wa wiki...
Shemeji...nakusalimia.
Kama unaishi D'slam maeneo ya Mwenge na viunga vya karibu....fika;
Mlimani Driving School...Mwenge (Lufungira)
Bei: 200,000 hadi 250,000.
Muda wa mafunzo ni wiki 4, na ni siku 6 kwa kila wiki.
Kama hutojali mimi naweza kukufunza gari kwa bei ya maongezi lakini ni kila mwisho wa wiki...
Ha ha ha basi niambie garama zako naweza kukubali unifundishe wewe mkuu.
Victoria Driving School iko Magomeni na Victoria...150,000/= full course.
Licence unaongezea 50,000/=
Hvo laki 2 wapata na leseni kabisa.
Ukimaliza kozi...hata Marcopolo au Yutong waendesha,nini Verossa.
Mie nitakuwa pembeni nimesimama na mtutu.
Ha ha ha basi niambie garama zako naweza kukubali unifundishe wewe mkuu.
Mazoezi nimeshaanza, labda uwe waja nifata.
Bora mkuu ufanye hivyo maana huyu shemeji yako watu8 anambwembwe sana.
Hahaha mbwembwe nizitoe wapi Mtanga miye...