Wadau poleni na mihangaiko ya kila siku. Mimi ni mdau wa karibu wa jamvini na spotrs kwa ujumla.kwa muda sasa nimekuwa ughaibuni na kipindi niko huku nimeanza mpango wa kufanya mazoezi ya viungo kwenye gym jambo ambalo nimetokea kulipenda sana. Back in Dar es Salaam ninaishi Tabata External, hivi kuna gymnasium gani nzuri karibu maeneo hayo naweza kuwa naenda kupasha angalau kila siku baada ya saa za kazi pamoja na gharama zao!!?
Ntashukuru kupata info zaidi kuhusiana na ombi langu