Msaada tafadhali

A-town

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2011
Posts
494
Reaction score
169
Wadau naomba msaada nimepiga picha kwa digital camera nataka kuzi upload kwenye fomu inayokubali picha zisizozidi 30kb nashindwa kuzipunguza zinanizingua.
 
Wadau naomba msaada nimepiga picha kwa digital camera nataka kuzi upload kwenye fomu inayokubali picha zisizozidi 30kb nashindwa kuzipunguza zinanizingua.

zi resize. Usually zinakua na resolution kubwa hadi 4000x4000 sjajua ni fomu gani lakini mi nitaguess ni ukubwa wa passport right?.

Fata step hizi

step ya kwanza
Kama una pc fungua software ya paint ya kueditia picha then click open ilocate hio picha unayotaka kuedit.

Alternative nenda kwenye hio picha halafu right click then open with paint.

step ya pili
hapa ni step ya kuedit angalia hii picha

kwenye panel click resize then hapa ndo itategemea na picha unataka uifanyie nini.

-kama unataka kipande cha picha just crop
-kama unataka picha uieke udogo
*passport size eka resolution hii 240x280 kawaida au 300x300 crdb

then ukimaliza save utaona picha imepungua ukubwa
 
Nshukuru mkuu hizi picha ni kwa ajili ya fomu za usajili wa mitihani ya NECTA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…