Salamu kwa wasomaji na members' wote wa JF. Ninaomba msaada kwenu: Kuna binti wa dada yangu yupo nje ya nchi (Uarabuni) anataka kutuma fedha kwa mama yake ambaye yupo hapa Tz kwa njia ya benki,amejaribu kutuma kupitia NMB na NBC bank lakini imeshindikana. Sasa je,atumie njia gani ili aweze kutuma pesa hiyo hadi huku nyumbani? Tadhali naomba msaada na siyo vinginevyo.
Mbona rahisi sana mimi naishi dubai natuma pesa kwenye account yangu ya nmb na nbc bila tatizo ndani ya siku 3 inakuwa imeshaingia gharama ni ndogo sana..pia anawezakutumia western union wana ofisi kila kona...kama akikwambia ni ngumu maana yake hataki kutuma..mambo ni rahisi sana 00971504374387 anawezanipia kwa namba hiyo