Kwa mbali najua.kidogo kuwa ni viwango vta ulipaji wa umeme kutokana bba matumizi mfano wa majumbani tunatumia tariff 0 mpaka 1 mahoteli, Bar nao tariff zao, ashuune za kusaga/kukoboa na viwanda vidogo vidogo na magerage tariff 2 na kuendelea (utaona hata wire za umeme zibbaongezeka badala ya 2 wanashushiwa wire 3
Hao wengine tariff za juu kubwa ni viwanda na migodi malipo yao na viwango ni juu ndo maana huwekewa Transfoma ya kupunguza umeme wa 33Kv ambazo hupita juu zaidi katika nguzo (za chini ni 11Kv kwa matumizi madogo ambapo yameshapunguzwa kuoouutia Step-dorn Transfoma)
Somo lingine
Umeme wa ndani 500volts
Umeme wa mitaani 11-33Kilovolts
Umeme wa Mtera, Kidatu hutoa Mega