ryana fan JF-Expert Member Joined Apr 27, 2018 Posts 2,632 Reaction score 3,063 May 31, 2019 #1 Nawasalimu.....!!! Baada ya salamu. Nijikite moja kwa moja kwenye mada. Kuna binti mmoja mzuri sana imetokea kumpenda Sana. Kila nikimpiga simu naambiwa Subiri nitakutafuta baadae, lakini baadae sitafutwi ana maana gani? Naombeni ushauri aiseee
Nawasalimu.....!!! Baada ya salamu. Nijikite moja kwa moja kwenye mada. Kuna binti mmoja mzuri sana imetokea kumpenda Sana. Kila nikimpiga simu naambiwa Subiri nitakutafuta baadae, lakini baadae sitafutwi ana maana gani? Naombeni ushauri aiseee
MANDEVUMENGI JF-Expert Member Joined May 15, 2018 Posts 1,356 Reaction score 3,626 May 31, 2019 #2 MKUU HAUPENDWI PUNGUZA SHOBO,NA UFANYE YAKO USIJIHANGAISHE NAE
SK2016 JF-Expert Member Joined Apr 6, 2017 Posts 8,077 Reaction score 13,951 May 31, 2019 #3 Yaani walivyo wengi hivi, bado unasubirishwa tu nawe umetulia kama uko saloon!
Fursakibao JF-Expert Member Joined Dec 12, 2017 Posts 6,996 Reaction score 11,886 May 31, 2019 #4 SK2016 said: Yaani walivyo wengi hivi, bado unasubirishwa tu nawe umetulia kama uko saloon! Click to expand... under 16 huyu usimlaumu. mtu mzima asingeuliza swali la kipuuzi
SK2016 said: Yaani walivyo wengi hivi, bado unasubirishwa tu nawe umetulia kama uko saloon! Click to expand... under 16 huyu usimlaumu. mtu mzima asingeuliza swali la kipuuzi
HB.com JF-Expert Member Joined Oct 19, 2015 Posts 608 Reaction score 645 May 31, 2019 #5 Jifunze kubalance shobo
K K M JF-Expert Member Joined Mar 24, 2019 Posts 225 Reaction score 377 May 31, 2019 #6 Fanya kama unampuuza, usiwe hata na habari nae. Siku akiwa na shida ya pesa atakutafuta tu.
SK2016 JF-Expert Member Joined Apr 6, 2017 Posts 8,077 Reaction score 13,951 May 31, 2019 #7 Kweli kabisa. Yaani hadi nimemshangaa! Mwanaume kabisa hawezi kusubirishwa. Fursakibao said: under 16 huyu usimlaumu. mtu mzima asingeuliza swali la kipuuzi Click to expand...
Kweli kabisa. Yaani hadi nimemshangaa! Mwanaume kabisa hawezi kusubirishwa. Fursakibao said: under 16 huyu usimlaumu. mtu mzima asingeuliza swali la kipuuzi Click to expand...
nosspass JF-Expert Member Joined Mar 7, 2013 Posts 5,819 Reaction score 4,796 May 31, 2019 #8 akili huna wewe...
ryana fan JF-Expert Member Joined Apr 27, 2018 Posts 2,632 Reaction score 3,063 May 31, 2019 Thread starter #9 Giancarlo said: MKUU HAUPENDWI PUNGUZA SHOBO,NA UFANYE YAKO USIJIHANGAISHE NAE Click to expand... Aiseee Inawezekana
Giancarlo said: MKUU HAUPENDWI PUNGUZA SHOBO,NA UFANYE YAKO USIJIHANGAISHE NAE Click to expand... Aiseee Inawezekana
ryana fan JF-Expert Member Joined Apr 27, 2018 Posts 2,632 Reaction score 3,063 May 31, 2019 Thread starter #10 SK2016 said: Yaani walivyo wengi hivi, bado unasubirishwa tu nawe umetulia kama uko saloon! Click to expand... We acha tu kupenda Kaka
SK2016 said: Yaani walivyo wengi hivi, bado unasubirishwa tu nawe umetulia kama uko saloon! Click to expand... We acha tu kupenda Kaka
ryana fan JF-Expert Member Joined Apr 27, 2018 Posts 2,632 Reaction score 3,063 May 31, 2019 Thread starter #11 HB.com said: Jifunze kubalance shobo Click to expand... Sawa mkuu
ryana fan JF-Expert Member Joined Apr 27, 2018 Posts 2,632 Reaction score 3,063 May 31, 2019 Thread starter #12 K M said: Fanya kama unampuuza, usiwe hata na habari nae. Siku akiwa na shida ya pesa atakutafuta tu. Click to expand... Ahsante mkuu.
K M said: Fanya kama unampuuza, usiwe hata na habari nae. Siku akiwa na shida ya pesa atakutafuta tu. Click to expand... Ahsante mkuu.
ryana fan JF-Expert Member Joined Apr 27, 2018 Posts 2,632 Reaction score 3,063 May 31, 2019 Thread starter #13 nosspass said: akili huna wewe... Click to expand... Sawa
Sir Khan JF-Expert Member Joined Jul 28, 2018 Posts 5,777 Reaction score 11,651 May 31, 2019 #14 Huyo anakufanyia unyanyasaji wa kijinsia, nenda karipoti kituo cha polisi kilicho karibu nawe.
Omerta JF-Expert Member Joined Jan 3, 2016 Posts 6,157 Reaction score 7,822 May 31, 2019 #15 Usimpigie simu mfuate alipo.... au mambo ya face to face unaogopa?
Kichwa Tango Member Joined May 29, 2019 Posts 58 Reaction score 78 May 31, 2019 #16 Tuma muamala mkuu atakutafuta mwenyewe bila shuruti
ryana fan JF-Expert Member Joined Apr 27, 2018 Posts 2,632 Reaction score 3,063 May 31, 2019 Thread starter #17 Kichwa Tango said: Tuma muamala mkuu atakutafuta mwenyewe bila shuruti Click to expand... Duuu. Utatumaje muhamala wakati haeleweki mkuu.
Kichwa Tango said: Tuma muamala mkuu atakutafuta mwenyewe bila shuruti Click to expand... Duuu. Utatumaje muhamala wakati haeleweki mkuu.
ryana fan JF-Expert Member Joined Apr 27, 2018 Posts 2,632 Reaction score 3,063 May 31, 2019 Thread starter #18 Omerta said: Usimpigie simu mfuate alipo.... au mambo ya face to face unaogopa? Click to expand... Hapana mkuu.
Omerta said: Usimpigie simu mfuate alipo.... au mambo ya face to face unaogopa? Click to expand... Hapana mkuu.
ryana fan JF-Expert Member Joined Apr 27, 2018 Posts 2,632 Reaction score 3,063 May 31, 2019 Thread starter #19 Sir Khan said: Huyo anakufanyia unyanyasaji wa kijinsia, nenda karipoti kituo cha polisi kilicho karibu nawe. Click to expand... Inabidi aisee. Manake siyo kwa unyanyasaji huo
Sir Khan said: Huyo anakufanyia unyanyasaji wa kijinsia, nenda karipoti kituo cha polisi kilicho karibu nawe. Click to expand... Inabidi aisee. Manake siyo kwa unyanyasaji huo
Bandu Ncheche JF-Expert Member Joined Jul 9, 2016 Posts 512 Reaction score 326 May 31, 2019 #20 Ana mtu wake ila hata wewe anakupenda, au hakupendi ila anaogopa kukwambia ukweli kwasababu ameshakula vyako vingi sana.
Ana mtu wake ila hata wewe anakupenda, au hakupendi ila anaogopa kukwambia ukweli kwasababu ameshakula vyako vingi sana.