Msaada Tafadhali!!!

advocate kiza

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
262
225
Habari,

Mdogo Wangu Amepata
English C
Civics C
Kiswahili C
Bios D
Geo D
Hist D
Math F

Anataka Aanze Certificate Ya Sheria Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam

Je Kwa Matokeo Hayo Anaweza Pata Admission Mwezi September??
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom