Msaada tafadhali

Wernery G Kapinga

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
381
Reaction score
131
Nina document ipo katika Microsoft word na nataka niprint kwenye A3. Lakini nikicomand itoke, inatoka nusu. Kila nikikomand itoke kwenye A3. Hii document nataka itoke yote full page nimeshindwa. Msaada watalamu yaani nimechoka. Nifanyaje wandugu..[emoji19][emoji19]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…