Jambo Tz JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 670 Reaction score 203 Nov 5, 2018 #1 Natumia IPhone 8+ mpya lakini siku hizi mbili yaniambia ni update nipate 12 Nimejaribu ku update kwa kutumia wi fi ya tekno imegoma inasema hakuna network Msaada wenu wajuzi wa hizi mambo Natanguliza shukran
Natumia IPhone 8+ mpya lakini siku hizi mbili yaniambia ni update nipate 12 Nimejaribu ku update kwa kutumia wi fi ya tekno imegoma inasema hakuna network Msaada wenu wajuzi wa hizi mambo Natanguliza shukran
thanos JF-Expert Member Joined Jul 25, 2018 Posts 1,118 Reaction score 1,179 Nov 5, 2018 #2 Sasa ume tumia wifi ya tecno ime goma una uliza nini tena?