Madihani JF-Expert Member Joined Apr 30, 2015 Posts 6,325 Reaction score 7,533 Sep 9, 2016 #1 Habari Jf. Naomba kufahamu anayesoma Bachelor of Arts in Law Enforcement anafanya kazi gani kwenye soko la Ajira. Nataka niongeze kwenye list yangu wakati nafanya application.
Habari Jf. Naomba kufahamu anayesoma Bachelor of Arts in Law Enforcement anafanya kazi gani kwenye soko la Ajira. Nataka niongeze kwenye list yangu wakati nafanya application.
Bonny JF-Expert Member Joined Feb 21, 2013 Posts 13,369 Reaction score 30,011 Sep 10, 2016 #2 Anakua polisi