Semeni Bugoke JF-Expert Member Joined Feb 21, 2015 Posts 390 Reaction score 675 Aug 20, 2016 #1 Habarini wakuu naomba mnisaidie kwa mtanzania yeyote anaesoma chuo cha GIRNE AMERICAN university nipatiwe namba yake ya mawasiliano
Habarini wakuu naomba mnisaidie kwa mtanzania yeyote anaesoma chuo cha GIRNE AMERICAN university nipatiwe namba yake ya mawasiliano
X_INTELLIGENCE JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 10,801 Reaction score 15,032 Aug 20, 2016 #2 subiri wenye uelewa mpana watakusaidia.
nkanga chief JF-Expert Member Joined May 31, 2016 Posts 2,084 Reaction score 1,623 Aug 20, 2016 #3 SEMA UNATAKA NINI
maji king Member Joined Jan 13, 2016 Posts 35 Reaction score 16 Aug 20, 2016 #4 Nataka namba ya simu ya mtanzania anayesoma GIRNE AMERICAN university