N NUHWAHI JF-Expert Member Joined Jan 23, 2014 Posts 309 Reaction score 493 Feb 27, 2016 #1 mwenye kujua filamu yoyote ya hapa BONGO,..(Bongo movie) yenye viwango stahiki anitajie...haijalishi ni ya mwaka gani.. maana nilizozichek kadhaa kwa wiki hii ZIMEFELI KABISA kuakisi na kuwasilisha UJUMBE TOKA KWA JAMII... NISAIDIENI KATIKA HILO
mwenye kujua filamu yoyote ya hapa BONGO,..(Bongo movie) yenye viwango stahiki anitajie...haijalishi ni ya mwaka gani.. maana nilizozichek kadhaa kwa wiki hii ZIMEFELI KABISA kuakisi na kuwasilisha UJUMBE TOKA KWA JAMII... NISAIDIENI KATIKA HILO
Mr Antidote JF-Expert Member Joined Jan 11, 2015 Posts 955 Reaction score 1,315 Feb 27, 2016 #2 1. Moses never say never 2. Devil Kingdom Both by late Kanumba
Lumbi9 JF-Expert Member Joined Oct 12, 2014 Posts 8,740 Reaction score 12,431 Feb 27, 2016 #3 Mdundiko
N NUHWAHI JF-Expert Member Joined Jan 23, 2014 Posts 309 Reaction score 493 Feb 27, 2016 Thread starter #4 k_dizle said: 1. Moses never say never 2. Devil Kingdom Both by late Kanumba Click to expand... OK, WACHANIZITAFUTE..asante
k_dizle said: 1. Moses never say never 2. Devil Kingdom Both by late Kanumba Click to expand... OK, WACHANIZITAFUTE..asante
lolypop JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 2,425 Reaction score 1,689 Feb 27, 2016 #5 NUHWAHI said: mwenye kujua filamu yoyote ya hapa BONGO,..(Bongo movie) yenye viwango stahiki anitajie...haijalishi ni ya mwaka gani.. maana nilizozichek kadhaa kwa wiki hii ZIMEFELI KABISA kuakisi na kuwasilisha UJUMBE TOKA KWA JAMII... NISAIDIENI KATIKA HILO Click to expand... THE HOUSE OF MAGIC-kanumba
NUHWAHI said: mwenye kujua filamu yoyote ya hapa BONGO,..(Bongo movie) yenye viwango stahiki anitajie...haijalishi ni ya mwaka gani.. maana nilizozichek kadhaa kwa wiki hii ZIMEFELI KABISA kuakisi na kuwasilisha UJUMBE TOKA KWA JAMII... NISAIDIENI KATIKA HILO Click to expand... THE HOUSE OF MAGIC-kanumba
Kaboom JF-Expert Member Joined Nov 6, 2011 Posts 10,827 Reaction score 15,016 Feb 27, 2016 #6 Hizo ndo filamu zetu mkuu..Asilimia kubwa ni magumashi..Watu hawako serious na kazi zao