Kuna mada moja tulikua tukijadili mimi pamoja na wenzangu bila mafanikio
Topic ni kuhusu ndoa za watu wa dini tofauti ambapo walioshindwa kubadili dini hufanya yakiserikali ..swali ni kwamba je mwanaume wakikristo anaruhusiwa au anaweza kuoa mwanamke wa kiislamu na je ushawahi ona? Ahsanteni