Msaada tafadhali wa software

Parata

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
3,090
675
naitaji software ya kuhack facebook alienae anitumie hapa samrichyoungboy20@gmail.com na kama una software au link za kucheki TV online hasahasa mpira
SHUKRANI
 
Hakuna program ya kuhack Facebook, jipange upya.
 
Narudia hakuna, wanaodai wanazo wanawatarget vilaza wawaingizie mavirus. Kungekuwa na software unayoweza kuigoogle kijingajinga Facebook wangekuwa wameshajua na kuziba hilo pengo, wana department nzima zinadeal na security kama unataka kuhack facebook itabidi utafute vulnerability mwenyewe kitu ambacho wachache sana wanaweza kufanya.
 
untokea mtaa gani wewe? watu wana hack hadi mwezi unakua na mwanga kama jua we unasema facebook ya bwana MARK
 
Hujaambiwa haiwezekani ku hack account ya mtu ya FB
Umeambiwa hakuna software utadownload tu na kuhack account ya mtu kama unavyochakachua windows fake kuwa genuine
 
nifundishe sasa kaka ndio nachoitaji
 
inaandika ivii
The requested resource could not be loaded because the server returned an error:
500 Internal Server Error (?). Return to index.
mkuu unatumia pentium 2 nini?? mimi naangaliaga mkuu sasa wewe iko nashindwaje banaa
 
Back
Top Bottom