Wanajamvi naomba msaada wa laptop(dell,os w7) ambayo inashindwa kuboot baada ya kuonyesha dell logo, ni kwamba haiwez kuendelea huwa inajirestart pasipo kuendelea, hivyo kwa mwenye ujuzi kwenye kurekebisha hili tatizo if posible bila kubadili os asaidie tafadhali, nashukuru kwa msaada wowote utakaotatua hili tatizo!