S Soki JF-Expert Member Joined Jan 5, 2011 Posts 1,303 Reaction score 281 Jul 30, 2013 #1 Mwanzo ilikuwa ina speed nzuri sana. Lakini siku moja nikaona inaprint slow kupita kiasi. Page moja inaweza kuchukua hata nusu saa hivi! Na haijarecover tangu wakati huo! Aina ni HP photosmart Plus. Nini ufumbuzi wa tatizo hili?
Mwanzo ilikuwa ina speed nzuri sana. Lakini siku moja nikaona inaprint slow kupita kiasi. Page moja inaweza kuchukua hata nusu saa hivi! Na haijarecover tangu wakati huo! Aina ni HP photosmart Plus. Nini ufumbuzi wa tatizo hili?
S Soki JF-Expert Member Joined Jan 5, 2011 Posts 1,303 Reaction score 281 Jul 30, 2013 Thread starter #2 Wakati mwingine inaweza kuchukua hata zaidi ya nusu saa kuprint kazi ndogo tu kwa kutumia program ya publisher!
Wakati mwingine inaweza kuchukua hata zaidi ya nusu saa kuprint kazi ndogo tu kwa kutumia program ya publisher!
S Soki JF-Expert Member Joined Jan 5, 2011 Posts 1,303 Reaction score 281 Jul 30, 2013 Thread starter #3 Na bahati mbaya nasikia aina hii ya printer hakuna head za kubadili ikiwa head yako imearibika