Kitaeleweka
JF-Expert Member
- Jul 30, 2012
- 394
- 88
Habari wanajf!
natumia laptop ya toshiba os windows 7 kila nikiiconnect modem inawaka kama dk 5 hivi then inaniambia window has encountered critical problem and will restart in one minute hivyo nisave vitu vyangu na inazima na kuwaka tena na mchezo ndo huo.
Nisipoweka modem haina shida kabisa yaani it works just parfect. Nimejaribu modem tofauti ila tatizo bado lipo.
Mwenye ujuzi tafadhali naomba msaada. Thanx in advance.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums