Msaada tafadhali nimepoteza vyeti

Quicklime

Senior Member
Mar 30, 2011
174
62
Habari wanajamvi,
Naomba msaada kwa anayefahamu namna ya kufanya ili kupata uthibitisho wa vyeti vilivyopotea unaokubalika au kutengenezewa vingine.Nimepoteza vyeti vya chuo
 
Ni chuo mkuu
Kwanza pole sana,
Pili ungesema ni vya chuo gani, huenda Kila chuo kina utaratibu wake wa kutoa vyeti vyengine pindi vile vya awali vinapopotea, ili hata atakae toa ushauri ajue jinsi gani ya kukusaidia.
 
Asante kwa waliokuwa na positive attitude kwa yaliyonikuta!Linaweza kumtokea mtu yeyote yule!
Nilichojifunza kupitia janga lililonikuta, Kuwa jeshi la mtu mmoja kwa maana ya kuwa man alone mara nyingi inatokea kutokana na roho mbaya za watu!
Mi mtu naamini ameficha cheti changu lakini Namshukuru Mungu nimepata some documents za kuendelea kunitambua while suala langu linashughulikiwa
 
Nakumbuka niliwahi kumuachia mwanasheria vyeti vyangu vyote pamoja na copy zake zote akaenda nazo mjini ili apige mhuri, ilikuwa n kazi ya siku moja tuu lkn ad tumbo la kuhara lilinipata nikijiuliza n kwann sijampa copy tuu
 
Duuuh sio mchezo!?
 
Back
Top Bottom